Mwanamuziki maaruffu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye anatarajia kupanda jukwaani wiki hii katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen,2014,Germany. mwanamuziki (pichani) akiwa katika mazoezi ya viungo maarufu kama 'Uzee mwisho Chalinze' ndani ya Ujerumani. kwa wale wanataka kumpa Hi! +49(0)15211229655
Kilomita 10 kila asubuhi si mchezo
Imetulia hiyo Uzee sasa mwisho airport. lol
ReplyDeleteSixmund hapa
Mazoezi ya kuimarisha mwili baada ya umri wa miaka 40 ni mazuri kwa afya.
ReplyDelete10 km ni kama 6 miles...nafikiri ni umbali mzuri sana wa kutembea kila siku huo. Ukiweza kupiga hiyo kila siku basi lazima kitambi kikimbie!
ReplyDelete