Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Jumanne 22, 2014 wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. 
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova. Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2014

    Vyuo vyote vichunguzwe huwezi kuzalilisha viungo alivyoumba Allah namna Hiyo na wafungwe iwe fundisho kwa wengine, tunalazimisha tu vitu hatuvowezi mtengeneze sehemu za kuwazika! Na sitostaajabu watu wanaouliwa au kufa kwenye mazingira ya kupotea wanauzwa kwenye vyuo Hivyo wafanye kazi zao baadae ndio hayo wanawatupa tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2014

    Wekeni tip line watu wawataje wahusika acheni blah blah blah na wakati hamjui mambo ya forensic. ..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2014

    Hapa kuna mengi sana zaidi ya yanayozungumzwa.......Mtaani kwetu miaka kama 4 washkaji wawili walipotea ktk mazingira ya utata....mpaka leo hawajulikani walipo...tena ni watu wenye umri mkubwa tu......najua ni ngumu lakini iwapo watu waliopotelewa wangejitokeza kwa wingi na kushinikiza uchunguzi wa kuwatambua hao watu....tungejifunza mengi mno.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2014

    Pamoja na simanzi.......ila tusihame kifikra ktk suala zima la bunge la katiba na ufumbuzi wa saga lililolikumba bunge hilo maana wakati ni mfupi uliobaki.....maana wakati mwengine ujanjaujanja mwingi hapa mjini.......

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2014

    Watanzania ndio zetu. Wakati watu wanajadili mambo ya msingi - mwingine analeta mzaha.Unafikiri kila jukwaa ni la siasa tu kwa ufinyu wa fikra na ushabiki usio fikiria mbele.

    Hili lazima lijulikane, na ilikuaje kiasi kikubwa cha viungo vya binaadamu kikawa kimekusanywa kwa wakati mmoja hivi. Ina maana hakuna ukaguzi wa mara kwa mara kwenye haya mahospitali kwa muda mrefu hivi kiasi cha kukusanya miili mingi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...