Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataaarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 16/07/2014, 17/07/2014 NA 19/07/2014
MUDA: 03:00Asubuhi – 12 Jioni
SABABU: Kubadilisha nguzo zilizooza maeneo ya Feri Kigamboni.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Feri, Tungi, Machava, Magogoni, Navy jeshini, Pikoli na maeneo jirani.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo
2138352; 0222138352; 0788 499014,0736 501661
au namba hii ya kituo cha huduma kwa Wateja:
2194400 au 0786985100.
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
Hivi Temeke ni MKOA??
ReplyDeleteKuondoka tatizo la umeme Tanzania ni kukaribisha makampuni binafsi yawekeze kwenye umeme utashangaa Tanesco watakavyoamka kwenye usingizi wa kujiona wao ni miungu na hawana haja ya kuboresha miundombinu na mteja utalipa tu.
ReplyDelete