Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2014

    Mungu awasaidie Malaysia airlines jamani. Yaani huu mwaka siyo wa kawaida. Tuwaombee waliofariki ghafla, familia zao wapate nguvu na baraka. Pumziko la Amani tuwaombee.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2014

    Ninategemea Kusikia kauli ya Membe kulaani Urusi kuendelea kujihusisha na mgogoro wa Ukrane kwa kuwa support waasi kama alivyo ilaani Israeli..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2014

    Mungu awape moyo wa imani familia zote zilizopatwa na mkasa huu kwa mara ya pili. Tukumbuke hawa ni binadamu walioumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Ee Mungu uwape pumziko la milele Amina.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2014

    POLENI WAFIWA NA MKASA WA NDEGE..WADACHI WENGI WAMEPOTEZA MAISHA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...