Home
Unlabelled
.Brazil mbendembende....UJERUMANI YAWAPIGA 7-1 kama wamesimama vile!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uwezo wetu ndio ulipoishia ubishi wa scolari wakutuletea mafoward wabovu ndio huo funzo hilo
ReplyDeleteNawapongeza Brazil kwa kuweza kufika hapo walipofika. Sisi kama Taifa hata hatujawai kusogelea kombe la Afrika achilia mbali la Dunia.
ReplyDeleteEti uwezo wetu!! Unless kama wewe ni mbrazil.
ReplyDeleteBaada ya kuangalia mpira huu ninakubaliana na wale wanaosema kushinda mpira wa miguu si ujuzi tu bali ni bahati inayokuja mchezoni mpira ukikukaribia ukaufanyia kazi basi unaweza kuingiza goli. Poleni Brazil baada ya kutolewa timu za Afrika wengi wetu tuliegemea kwenu. Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
ReplyDeleteDad choice done by scolari
ReplyDeleteAudhubillah
ReplyDeleteWalikuwa kama wamerogwa.
They did not seem to know where they were and what they were supposed to do.Mtu juzi angenambia kuwa Brazil watafungwa mabao saba ningemwita kichaa mwenye wazimu
Pole big Scolari
Brazili hata wakishindwa wachezaji wao ni mahendsamu
ReplyDeleteAnaesema hakutegemea namshangaa, hamkuambiwa mpira ni dakika 90? Hivyo usiwe na matokeo kichwani, we kaa tu uangalie mpira unavyo-flow! Na hapa nawashauri watu waache unazi wa ushabiki kwani unaweza kupata maradhi yasiyotibika, iwe kwa timu yako kushinda au kuadhibiwa!
ReplyDeleteHata hivyo rekodi ya Zaire (9-0 vs Yugoslavia) na El Salvado (10-1 vs Hungary) hazijavunjwa!!
Hilo ni Tambiko...Nawapenda Brazil, wafungwe, wasifungwe!! Bado ni miamba wa soka duniani, mabingwa mara 5 mweeee
ReplyDeleteNeimar alipoumia basi! Ina maana brazil wanamtegemea ´Neimar tu? Wacheze kwa ustadi mkubwa bila kútegemea mtu mmoja tu, ona sasa? Mbona waholanza na wajeruamni hawana cha wanamtegemea nani zaidi! Wote wanajitahidi kucheza vizuri ktk nafasi zao. Tusubirie ushindi wa kombe nani atachukua mjerumani au mholanzai??????
ReplyDelete