Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akimpa msaada wa boksi lenye vyombo mbalimbali Mama Lishe wa Soko Kuu mjini Nachingwea mkoani Lindi leo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo ambayo itawasaidia katika biashara yao.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza huku akishangiliwa na Mama Lishe wa Mjini Nachingwea baada ya kuwakabidhi msaada wa vyombo mbalimbali vya jikoni mjini humo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao.
Fatuma Mohamed, kiongozi wa Mama Lishe mjini Nachingwea (katikati) akimshukuru Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wapili kulia) kwa msaada wa vyombo mbalimbali vya jikoni walivyopewa na Mbunge wao. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (aliyevaa mawani wapili kulia) akiwa amezungukwa na Mama Lishe wa mjini Nachingwea huku wakimshanglia kwa furaha baada ya kuwakabidhi misaada mbalimbali ya vyombo vya jikoni. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo kwa kuwa itawasaidia katika biashara yao. Picha zote na Felix Mwagara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...