Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Mhe. Juma Nkamia (wa pili kushoto mstari wa mbele) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola leo jijini Glasgow, Uskochi (Scotland). Mkutano huo unafanyika kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya Jumuiya hiyo, utakaofanyika keshokutwa haoa Glasgow. Agenda kuu ya Mkutano huo ni Michhezo kwa Maendeleo na Amani.
Home
Unlabelled
MH. NKAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MICHEZO WA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI SCOTLAND
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...