Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari amefanya mazungumzo na Seneta Joyce Elliott  wa Chama cha Democrat ch Rais Obama Nchini Marekani. Pamoja na mambo mengine wamejadiliana kuhusu mpango wa kuanzisha urafiki kati ya Halmashauri ya Meru na Jimbo la Arkansas la Marekani.
  Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari, akitoa mada. Mhe Nassari yupo nchini Marekani Pamoja na vijana wengine toka nchi zote za Afrika kwa ajili ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira (most promising young African leaders) iliyoanzishwa na Rais Obama.
  Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari,katika picha ya pamoja na vijana wengine toka nchi zote za Afrika kwa ajili ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira (most promising young African leaders) iliyoanzishwa na Rais Obama.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2014

    Akita mada ama aki-pose mbele ya speakers stand?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...