Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2014

    Ankal usicheleweshe sana tusambazie kupitia matawi yako Group-Michuzi ughaibuni.
    Mbunifu katoka na ubunifu wa uhakika.Na hawa ma-Supper Model katika video wameziwakilisha kwetu na kwa watalii kimataifa.

    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete
  2. I love it! Hongera Kaka Michuzi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2014

    Bongo ni ulimbukeni tu, kila kitu group group group hakuna ata kuumiza akili jamani ktk kutunga majina?! Group una kampuni ngapi wewe mpaka ujiite group?! Group ya ukweli haishangilii ovyo na wake zao kwa vijit-shirt, ushawahi wapi kumuona Mengi, bakhresa, Manji, Rostam na groups zao wakiwa na wake zao eti wanashangilia kwa ajili wametengeneza t-shirts? Usiwe nyuma kwa akili finyu na mafanikio machache uliyonayo ww piga kazi ankali kama vijana wa FFU ili usonge mbele hacha kulizika ovyo ovyo, ondoa undugu undugu na wake wake kwenye dili zako ZITAKUJA KUFA ZOTE NA UTAKUJA SHANGAA BAADAE YAKHE! Bana au weka komenti yangu lakini meseji senti!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2014

    Hela nzuri, checki ankal ulivyokumbatia hapo..

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2014

    Mbona ankal hujavaa zefulanas?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2014

    Hongera bwana Michuzi Mwenyezi aendelee kukujalia, stay focused!1

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2014

    We mdau wa tatu acha WIVU wa maendeleo wewe, akiita kampuni yake "group" au kuzianika picha na wake zake hewani wewe inakuuma nini? haya yote ni maaumuzi yake, mkewe na kampuni yake, yaani mitanzania mingine wajamani imejaa miwivu ya kishamba shamba tuuu, maendeleo hakuna basi ni kupiga domo tuuuu!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2014

    Heheeeee! Kumbe huyo ndo mke wa ankal, kwa kifulanaaaa!!!!!!!!!!!! tutayaona mengi wenye macho.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2014

    SIO WIVU NI UKWELI NA UWAZI, ANKALI ANATAKIWA APIGE KAZI TU NA SIO SHOW OFF ZA KITOTO ZISIZOKUWA NA MAANA. ATA MM NAMUUNGA MKONO MDAU WA 3

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2014

    ukweli na Uwazi unafurahisha kweli. Hivi unajua kwamba mwenzio kaanza mambo haya hata kabla ya wewe kujua kutumia internet, na sie tulioanza naye wala hatuoni cha ajabu?. Wivu wa kike huo!!
    LMAO

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 15, 2014

    Mdau namba tatu hapo juu ungeweza kuwa constructive bila kudhihaki mtu. Ankal keep it up! Dhihaka za wasiotaka kuona mafanikio ya aina yeyote kwa wenzao yasikurudishe nyuma!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 15, 2014

    Hakuna mtu mwenye mafanikio duniani bila ya kuambiwa ukweli katika maisha yake na binadamu aliyekamilika ni yule anaekubali kukosolewa ila kama kuambiwa ukweli na mdau wa tatu ni wivu basi endelea na swaga zako ankali ila All in all Big up unatisha saaaana. Libeneke ooooye

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...