Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada.  

Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New York Marekani, London Uingereza na Milan Italia. 

 Amesaini mkataba wa vipodozi na kampuni maarufu duniani ya Calvin Klein na ametokea katika kurasa mbele za majarida mashuhuri mbalimbali kama Elle Magazine, Teen Vogue na VogueItalia.  

Hivi karibuni pia mrembo huyu amekuwa miongoni mwa wanamitindo watatu waliochaguliwa katika kampeni ya kutangaza mavazi ya msimu wa spring ya mbunifu maarufu wa mavazi duniani, Tom Ford.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2014

    Huyu dada yupo juu sana. Big up Herieth and Big up to Bongo!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2014

    Kazana dada endelea kufanya kazi kwa ubora na ufanisi, una muda mrefu wa kufanya menge katika ubunifu wa mitindo. Nakupongeza dada kwa juhudi zako, kuwa na mipango na kuthubutu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2014

    Wow- she is a beauty.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2014

    Elegant, she is a meaning of beauty

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...