Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa
mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo
Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Bashir Mrindoko
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano huo. Kulia
ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose Migiro na (katikati) Mtendaji Mkuu wa
Ofisi ya Rais- Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Omari Issa.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano huo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini na kulia ni
Dk Deodatus Mtasiwa, Naibu Katibu Mkuu, Tamisemi.
Dk Deodatus Mtasiwa, Naibu Katibu Mkuu, Tamisemi.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati) akichangia hoja wakati
mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo
Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akichangia akichangia hoja wakati
mkutano huo. Kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe.
Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mwigulu Nchemba, na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO
Ingekuwa bora kutorudiarudia yale yaliyo andikwa awali. Soma taarifa yote hapo utaona ninachomaanisha.
ReplyDelete