Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh,Ali Hassan Mwinyi,Abdallah Ali Hassan Mwinyi kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na benki ya FNB,na kufanyika kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana,anaefuatia kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB,Ndugu Dave Aitken akiwa na baadhi ya wageni waalikwa wengine.
Mgeni rasmi Abdallah Ali Hassan Mwinyi sambamba na Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB,Ndugu Dave Aitken wakijumuika pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakiwa pia na baadhi ya wateja wa FNB benki waliolikwa kwenye hafla ya Iftari, ilioandaliwa na benki hiyo jana jioni katika bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana. 
Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh.Ali Hassan Mwinyi,Bwa. Abdallah Ali Hassan Mwinyi akiongoza wageni waalikwa kupata Iftari ya pamoja ilioandaliwa na benki ya FNB,kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana.

 Baadhi ya Wadau wa benki ya FNB wakiwa kwenye hafla ya Iftari
Baadhi ya wadau wa FNB Benki wakijadiliana jambo huku wakipata Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo maalum kwa wateja wao katika bustani ya Serena hotel jijini  Dar hapo jana.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...