Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa taasisi ya biashara ya kimataifa iliyo
chini ya wizara ya viwanda na biashara Singapore, Rahul Ghosh
akibadilishana mawazo na Denis Rweyemamu na Linda Manu kutoka taasisi ya
Uongozi ya Tanzania ambayo ndiyo iliyoandaa ziara ya mafunzo kwa
makatibu wakuu na vionzoi waandamizi wa serikali ya Tanzania nchini
Singapore.
Baadhi ya makatibu wakuu walioko kwenye ziara ya mafunzo nchini
Singapore yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi Tanzania, kutoka kushoto
ni Dk Shabn Mwinjaka- Katibu mkuu wizara ya uchukuzi, Dk Ffolens Turuka-
Katibu mkuu ofisi ya Waziri Mkuu,Dk Philip Mpango- Katibu Mtendaji
Ofisi ya Rais Mipango na Dk Sivvacius Likwelile- Katibu Mkuu wizara ya
Fedha.
Ujumbe wa makatibu wakuu na viongozi waandamizi wa serikali ya Tanzania
wakiwa katika mafunzo nchini Singapore, kuhusu uendeshaji wa shughuli za
serikali kwa ushirikiano na sekta binafsi PPP mfumo ambao umeisaidia
kimaendeleo nchi ya Singapore, Ziara hii inaratibiwa na taasisi ya
Uongozi ya Tanzania- Uongozi Institute. (Picha zote na Vedasto Msungu
Singapore)
Tusubiri tuone kama watakuja na mawazo mapya.
ReplyDeleteZaidi tumezoea ziara kama hizi wakirudi kILA MMOJA KIMYA!.Sana sana siku moja utasikia oh tulipokuwa Singapore, oh tuli...
Business as usual