Ukiwa unatoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport,Mauritius lazima utaona bango hili ambalo linakaribisha katika nchi hiyo.Endelea kuburudika na taswira mbali mbali za Mauritius.
Kijani chatawala nchini Mauritius.
KESHO TUWEKEE ZA BONGO TUSUUZE......TUNA KILA KITU LAKINI....YAANI MPAKA NAONA AIBU KUSEMA.....IVI KWELI SIE WA KUSHINDWA HATA MIUNDO MBINU YA KAWAIDA KAMA HII???SIJUI NANI ALIYETUTENDA MPAKA KUWA KTK HALI HII..........
ReplyDeleteBarabara nzuri mji mzuri. Mauritius iligeuza bandari ya zamani ya Port Louis kuwa sehemu nzuri ya kutembea watalii na wenyeji ikiwa na maduka, mahoteli na sehemu nzuri za burudani katika ufukwe wa bahari. Udfukweni mwa bahari wana mahoteli mazuri na watalii wengi, export processing zones zinazotengemeza nguo kwa ajili ya masoko ya nje, pamoja na miwa inayolimwa na kumwagiliwa na mashine kila mahali..
ReplyDeleteKuiendeleza nchi kunahitaji principles na kufuata rules fulani fulani. Hamuwezi kuendelea kama hamna nidhamu ya kiuchumi. Bongo hakuna nidhamu ya kiuchuni. Wakati mikakati ni ya kuleta maendeleo, matendo ni ya kupora kidogo kinachoweza kutuletea hayo maendeleo. Hakuna nchi inayotajirika kama watu hawafuati miiko ya uongozi na kanuni za kiuchumi. Mdau, CA USA
ReplyDelete