Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kinondoni,Joseph
Nicholous 9kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni,
ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Dk. Gunini Kamba mfano
wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 25 ikiwa ni msaada uliotolewa na TBL
kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika Zahanati ya Makuburi, Dar
es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika zahanati hiyo.
Kulia ni Mganga Mfawidhi wa zahanati hiyo, Stella Kivugo na katikati ni
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo katika kata hiyo ya
Makuburi.James Ngoitanile.
Jengo la zahanati ya Makuburi
Viongozi
wa Manispaa ya Kinondoni,viongozi na wahudumu wa zahanati hiyo
pamoja na Wajumbe wa kamati ya maji ya mtaa huo Mwongozo wakifurahia
kupata msaada huo kutoka TBL.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...