Home
Unlabelled
UCHAGUZI DMV: KUKOSA UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA MPIGANIA URAIS HAPA DMV (NDUGU LIBERATUS MWANGOMBE) - SAUTI YA BOARD MEMBA DMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Urais unanini? Wanaogombea wa Tanzania wanatiana vidole vya macho hawa wa wadogowadogo nao pia. What are they getting mpaka wakanyagane vichwa wang'oane meno kisa urais wa DMV? Hebu pigeni boksi acheni wazimu!!!
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu sababu za wagombea uongozi Dmv kuwa ktk mvutano.wagombea wote wanatetea nafasi zao na wanaotaka kuchaguliwa kwa mara ya kwanza
ReplyDelete-wote ni wabinafsi wanagombania nafasi hizo kwa sababu ya manufaa yao binafsi,wanajua kuwa kiongozi Dmv watapata au wamepata platform, ya kujulikana na viongozi wa kitaifa.
Dmv ndio state inayotembelewa na viongozi wa kitaifa na wa vyama vya kisiasa wanapokuja marekani.
Pia Dmv ni nyumbani kwa Glog ya vijimambo ambayo ina ushirikiano mkubwa na blog ya Michuzi. Hivyo wao kuwa viongozi Dmv wanapata nafasi ya kutokea sana ktk blog hizo maarufu Tanzania.
Na malizia kwa kusema viongozi waliopo madarakani na wanaogombea wote wanafanya kwa manufaa yao binafsi ili baadae waje kutumia umaarufu walioupata ,na kukutana na viongozi wa kitaifa na kichama ili waweze kujipenyeza ktk siasa tanzania au hata kupata kazi wakirudi nyumbani.
WOTE WANAFIKI.
Watanzania mna mambo. Naamini huyu balozi ni wawatanzania wote haina haja kwa jumuiya moja kumpaka matope. Uhsahisi wa upande mmoja huwa hauaminiki. Nafikiri kuliko kuandika gazetini ni vyema ungempigia simu balozi ama uende mwenyewe maana sio mbali muyamalize. Urais wa jumuia ni kitu kidogo sana.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki wana diaspora
"SAUTI YA BOARD MEMBA DMV" C'mon man why don't you put your name?
ReplyDeleteBodi memba wangejibu maswali kwanza ya muhimu yalitolewa na mgombea kuliko kutaja utovu wa nidhamu. Nyie bodi memba au balozi jibuni maswali ya msingi.
ReplyDeletePia naomba kukosoa. Balozi si mheshimiwa, wala rais wa tz hapa dmv. Mheshimiwa hapa ni majaji tu, yeye ni mwakilishi wa nchi yetu na katiba ya atc haimpi cheo chochote. Kwa hiyo kama kaamua kujiingiza maswala ya atc politics she is fair game to be critized/attacked.
Unaposema balozi ni Kama mama yetu kwa hiyo wewe unakuwa mwanaye na kwa jinsi hiyo uamuzi wa mama huwa ni wa mwisho kwa mtoto wake. Kitu ambacho mgombea urais aliona hatakiwi kufanya
hivyo kulingana na cheo chake kwenye jamii yake.
utovu upi wa nidhamu hapo? Simjibu maswali ya mgombea jamani? Acheni kuingiza siasa kwenye kila kitu.
ReplyDeleteMgombea Uraisi au Mpigania Uraisi?
ReplyDeleteAma kweli Madiaspora si wenzetu tena hata Kiswahili kinawashinda sasa, Uhuru ndio unao piganiwa na Uraisi unagombewa!!!
Hizi Jumuiya hazina maana yeyote kazi yao kubwa kugombana tu. Nasikia huko New York hivo hivo tu.
ReplyDelete