Kusaidina wakati wa shinda ndio kilimwengu ! Sisi sote ni viumbe wa mwenyezi Mungu , mfano hai wa kusaidiana ni huu pichani ! yaani mzee mzima ngamia akipewa Lift na Punda,chini ya usimamizi wa kiranja Binadamu ! Lakini msaada wa msafara huu mwisho wake !? sijui wapi? kama hospitalini ? au machinjioni ? au
mzee ngamia anapelekwa kufunga ndoa harusini siri ya msaada wa msafara huu wanaujua ni wausika ! au pengine ndio mambo Eco-Transport ?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2014

    HUU SI MASAADA MZURI NAONA SAFARI MWISHO WAKE NI UMAUTI KWA NGAMIA,MAANA BINADAMU SI VIUMBE WEMA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2014

    mmm ? hii ankali kali ya mwaka,umetoa wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...