Hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.

Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.
Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini;

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2014

    Kwa nini walimu tu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2014

    watu wanajipanga na uchaguzi mwakani ha ha ha

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2014

    Tarehe ya kuriport ni lini jamani? Naomba anayejua anijulishe.

    ReplyDelete
  4. ni vizuri lakinini iwe ni wote waliomaliza kidato cha sita na wale waliochukua mafunzo kuanzia ngazi ya stashahada na kwenda juu.mafunzo yawe ya miezi sita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...