Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,(kulia) akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa jinsi mashine mpya ya Ceragem V3 inavyofanya kazi , wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini . Anaeshuhudia ni Patricia Mndolwa.

Mzee Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa wakifunua kitambaa, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3 inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,pamoja nao katika picha ni Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa,Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, na Patricia Mndolwa.
Mzee Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa wakikata utepe, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3 inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,Pamoja nao katika picha ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa.
Baadhi ya Wagonjwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki wakifuatilia hotuba ya Uzinduzi waMashine mpya ya Ceragem V3 inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali nchini.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, akizungumza na baadhi ya wagonjwa na wafanyakazi wa Dafa Ceragem wakati wa Uzinduzi wa Ceragem V3 inayotumia Teknoloji ya hali ya juu katika kutibu Magonjwa mbalimbali bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini.Katika picha kutoka kushoto, Patricia Mndolwa, Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa, na Mgeni Mualikwa Bi. Lydia Mushumbusi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2014

    Washawasoma na kuwatathmini kisha utekelezji.....kama kawa......

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2014

    Hongereni sana DAFA Ceragem. Hata mimi nimeshafaidika sana na mashine ya Ceragem mpaka nikaamua kununua, ninayo nyumbani kwa matumizi ya kila siku. Imeniondolea maumivu ya mgongo na uchovu wa kazi za kila siku. Pia nafahamu wenzangu waliofaidika na huduma mnazotoa hapo Mwenge na Tegeta. Magonjwa ya kila aina yanapata suluhu. Tunawatakia mafanikio mema katika kuisaidia jamii na teknologia hii nzuri. Mungu awabariki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...