Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka katika moja ya jengo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi na kukata utepe kuaashiria kuanza kwa  ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...