Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maxcom Africa Limited,
Bwa.Ahmed Salum Lussasi akielezea namna mashine ya MaxMalipo inavyoweza
kufanya kazi katika suala zima la jamii kujikwamua na umaskini,ikiwemo
hasa kwa wajasiliamali mbalimbali,kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam ambapo Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda alipita kujionea huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni hiyo.
Waziri
Mkuu Pinda,akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi wa kanpuni ya Maxcom
Africa Limited ,alipowatembelea kwenye banda lao mapema leo mchana,kwenye maonyesho ya Biashara ya 38 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam
Waziri Mkuu Pinda,akimueleza jambo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Maxcom Africa Limited, Bwa.Ahmed Salum Lussasi,alipotembelea banda la kampuni hiyo mapema leo mchana,kwenye maonyesho ya biashara ya 38 ya Kimataifa yanayoendelea kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...