Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,
Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (katikati) akiongozwa na Meneja Mkuu wa NIDA Textile Mills Ltd Imran Lohya kupanda kwenye tenki la maji yanayutumika na kiwanda hicho.
Jamani Tz inadharaulika sana hasa jwa hawa wageni wanaowezeka! hawajali mazingira kabis awao ni pesa tu!Inasikitisha sana sana na anayepata hizi athari ni mwananchi wa chini na kati mana hayo hayao majia ngòmbe wanakunywa, mbuzi pia na yanatumika kumwagilia mchicha na mboga zingine za majani! Pamoja na kemikali nyingi hatarishi zilizopo kwenye maji hapo ambayo huingia kwenye mito kama msimbazi nk. Nchi hii inahitaji mageuzi makubwa katika sekta ya mazingira la sivyo ni kukaribisha magonjwa yasiyo na tiba kama vile cancer. Hongereni sana kutembelea kiwanda hichi waziri na naibu wake. Mungu iponye Tz na watu wake.
ReplyDelete