Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akisalimiana na Dkt. Jabiri Bakari, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa e-Government pamoja na ujumbe wake wakitokea New Delhi ambako walikuwa na mkutano na Wakala wenzao wa Serikali ya India.Katika mazungumzo yao, wamezungumzia jinsi ya kupata ufadhili kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wakala wa Serikali kwa njia ya Mtandao(e- Government)
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akiongea na Dkt. Jabiri Bakari, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa e-Government pamoja na ujumbe wake
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai akipata picha ya kumbukumbu na Dkt. Jabiri Bakari, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa e-Government pamoja na ujumbe wake
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...