Gwiji la muziki wa kizazi kipya, Alikiba, akitoa burudani kwa Wanatanga kwa wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Fiesta Tanga, katika viwanja vya Mkwakwani jinjini Tanga.

Akiwa jukwaani, Alikiba alilazimika kuuruduia wimbo huo kwa zaidi ya maramoja kwani pindi alipoonyesha dalili ya kumaliza kuimba, mashabiki zake walipiga kelele kuomba arudie kwa mara nyingine.

Alikiba ameahidi makubwa zaidi jumamosi hii,  Fiesta Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nafurahia sana matumizi ya lugha katika nyimbo za Ali Kiba. Nimependa matumizi ya methali na misemo ya kiswahili katika nyimbo za Dushelele na hii Mwana. Aendelee kukikuza kiswahili ili watoto wetu wapate urithi wa lugha yetu. Hongera sana Ali Kiba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...