
Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan
Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu
wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo na viongozi wa Taso mara baada ya
kunyakua ubingwa katika maonyesho ya kanda ya kaskazini kwa upande wa
Sekta ya Mawasiliano na habari katika viwanja vya nane nane Themi jijini
A rusha
Meneja masojo wa Tan Communication media Bi.Sarah
Keiya akiwa na timu yake kutoka Redio 5 wakiwa wamebeba zawadi ya
mbolea kwa washindi katika maonyesho hayo ambapo pia walitoa baskeli
mbili
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...