Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana.Maugo alishinda kwa point mpambano huo. |
Bondia Thomas Mashali (kulia) akimrushia konde la mkono wa kushoto bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Maugo alishinda kwa point mpambano huo.
Bondia Said Memba (kushoto) akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Bondia Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana .Chokoraa alishinda kwa point.
Bondia Khalid Chokora akipangua konde lililorushwa na Saidi Memba wakati wa mpambano wao chokoraa alishinda kwa point.Picha na Superd Blog
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...