Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara,
Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiongea na waandishi habari
(hawapo pichani) kwenye mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa za
Kichina, kushoto kwake ni Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka Jamhuri ya Watu
China nchini Tanzania Bi.Wang Fang, na kulia kwake ni Bi Rehema Mtingwa Afisa
wa Mawasiliano kutoka TPSF.
Baadhi wa washiriki waliohudhuria kwenye
mkutano wa waandishi kuhusu maonyesho ya bidhaa mbalimbali za Kichina yatakayoanza tarehe 21 hadi 24
mwezi huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa Uchumi na Biashara kutoka
Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Bi.Wang Fang akiongea na waandishi wa
habari(hawapo pichani).
Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha
Wafanyabiashara, Viwanda na KilimoTanzania Bw. Daniel Machemba akiwa kwenye
picha ya pamoja na wawakilishi wa biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa China mara
baada ya mkutano na Waandishi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...