Bwana Nzumbe Nyanduga (kushoto) amekuwa Mtanzania wa kwanza kupata stashahada ya
“International Master (MA) in Management, Law and Humanities in Sports” inayodhaminiwa
na FIFA. Pichani ni Bw. Nzumbe Nyanduga anaonekana akipokea stashahada hiyo kwenye Chuo Kikuu cha Neuchatel, Uswiss kutoka kwa Mkuu wa Chuo mbele ya Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Bw. Christian Karambeu ambae alikuwa ndio Patron wa darasa la 2014. Bw. Nyanduga amepata stashahada hiyo yenye distinction akiwa mwanafunzi bora wa 2014.
Home
Unlabelled
Mdau Nzumbe Nyanduga alamba Nondozzz yake ya nternational Master (MA) in Management, Law and Humanities in Sports nchini Uswiss
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...