Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi, asante sana kwa kazi nzuri ya kuwafichua wezi na wahujumu kama hawa. Kamera zenu ni silaha mojawapo kubwa sana mlizo nayo katika kupigana na ufisadi na natumai wanaohusika watashukuru na pia kutumia kazi za ofisi yako. God Bless.

    ReplyDelete
  2. SAFI SANA BROTHER MICHUZI INDELEA KUFICHUA UOZO KATIKA SEHEMU ZA KAZI, WE LOVE YOU VERY MUCH.

    ReplyDelete
  3. Michuzi huogopi unamkumbuka jerry muro alivokuwa anafichuwa maovu akajitangazia maadui kibao

    ReplyDelete
  4. Hata ufichue nini....kwa Tanzania ni kama kuchota maji kwa tenga.....ivi kwa vitisho vile vilivyotolewa mwanzo na hali ile ya mshikemshike na sakata lilitokea ktk kivuko hiki ni kweli hao watu wanathubutu kufanya haya??? Haijapata kutokea kwa Tanzania......shiiiiidA.

    ReplyDelete
  5. BROTHER MICHUZI WALA ASIKUTISHE ANONYMOUS #3 SISI TUKO NYUMA YAKO NA WALA HUTAPATA SHIDA PIA MUNGU APENDAYE YALIYO YA HAKI ANAKULINDA WALA USIOGOPE ENDELEA KUFICHUA UOZO HUO.

    ReplyDelete
  6. vijisenti tuu.Viongozi ndio wamejenga culture hiyo unadhani wananchi watafanya nin?

    tusilalamike.je mchawi tumemjua?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...