Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi wengine katika kumswalia aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Bibi Rehema Khamis katika msikiti Luta Kiembesamaki na kuzikwa Chukwani leo
Wananchi wakibeba Jeneza la Marehemu Bi Rehema Khamis aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia ugongo katika kaburi la Marehemu Bi Rehema Khamis aliyekuwa Mke wa Marehemu Rais wa Awamau ya Tatu wa Zanzibar Idrisa Abdulwakil (awamu ya tatu) Chukwani alikozikwa leo wilaya ya Magharibi Unguja. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...