Pichani ni ndugu frank Mwega, Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya biashara na uchumi (Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Diplomasia ya Kiuchumi) akimuwakilisha Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania, Mozambique akitoa maelezo kwa Mhe. Armando Emilio Guebuza, Rais wa Jamhuri ya Mozambique kuhusu masuala ya Vivutio vya Utalii na Bidhaa zinazo zalishwa na viwanda na wajasiriamali wa Tanzania kwenye banda la Tanzania wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo (FACIM) tarehe 25 Agosti 2014. Maonyesho hayo yalifunguliwa rasmi na Mhe. Guebuza na yataendelea mpaka tarehe 31 Agosti 2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...