Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na viongozi wengine ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika kituo cha Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii promotion ya huduma zetu ni nzuri. Ujumbe tutumie usafiri wa treni ya TAZARA ili kuiongezea mapato.

    ReplyDelete
  2. Duuh...tazara kumbe MNA behewa zuri...?

    ReplyDelete
  3. Michuzi uwe unapublish comments zitazoleta maendeleo. kama rais anawekwa kwenye behewa zuli hili, ataaona saa ngapi wananchi wa kawaida wanavyopata shida ya usafiri

    ReplyDelete
  4. Mwenye kupewa anahaki ya kukubali au kukataa.Kama Raisi kapangiwa kusafiri katika daraja la VIP na kama alipenda awemo katika daraja la walala hoi,basi angelikataa daraja la VIP ILI AKASAFIRI NA WALALA HOI. Jee kuna yoyote angemshika shati kuwa asiondoke daraja la VIP. Yeye mwenyewe kapenda VIP na walala hoi watajijuwa wenyewe.End of stori.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...