Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji kikisafishwa katika Zahanati ya Makuburi Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James Ngoitanile (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kampuni ya Drima Drilling & Civil Works, Rashid Abdallah walipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa kisima
cha maji kikisafishwa katikaZahanati ya Makuburi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25..
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu
(kushoto), na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwongozo, James
Ngoitanile (wa tatu kushoto) wakiangalia kisima kipya cha maji
kikisafishwa katika Zahanati ya Makuburi Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.Kiwanda hicho Kimejengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil. 25.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...