Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni sana vijana wetu wa Makutopora kwa kucheza ngoma ya Kibati kutoka Zanzibar kwa umahiri mkubwa. Kawaida wenyewe wanacheza taratibu na kwa kuringa.

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana vijana wa Makutopora kwa kudumisha ngoma zetu na utamaduni wetu.

    ReplyDelete
  3. combi ya mwafrika: ngoma ya kunengua

    ReplyDelete
  4. Mmejitahid si haba na hongereni sana wana JKT Makutupora. Japokuwa mmeipeleka kijeshi jeshi, lakini mmejaribu na kujitahidi, ila kama alivyojisemea mdau wa mwanzo hapo juu ...wenyewe huicheza taratibu na kwa kuringa. Keep it up!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...