Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8, 2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako August 8,2014 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane jijini Mwanza . Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo na kulia ni mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 kwa ajili ya kufunga maonyesho ya wakulima Nanenane jijini Mwanza August 8, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo kwenye Ikulu ya Mwanza August 7, 2014 ambako August 8 anatarajiwa kufunga maonyesho ya wakulima Nanenane jijini Mwanza August 8, 2014.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...