Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa kampuni ya Ubelgiji inayotengeza nyumba za mbao za gharama nafuu. Wa pili kulia ni Afisa mfawidhi wa Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji Bwana Nyamtara Mukome. Ziara hii imefanyika leo mjini Charleroi Ubelgiji.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI INAYOTENGENGEZA NYUMBA ZA MBAO ZA GHARAMA NAFUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...