Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika unaoongozwa na Prof. Ephata Kaaya, (wa pili kulia)katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Shahada ya Heshima kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika Prof. Ephata Kaaya, aliyotunukiwa na chuo hicho kumtambua kuwa yeye ni mwanataaluma wa fani hiyo na pia katika kukuza na kuimarisha fani hiyo katika Ukanda huu wa Afrika. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...