Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu masuala mbalimbali likiwamo la kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni, kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Watanzania wote tuzingatie amani wakati wote wakufanya siasa za hoja na kuleta tija kwa nchi. Picha za malumbano na zogo haziashirii hali nzuri. Tukiweza tuziepuke rabsha hizi, ifikie wakati tuwe na siasa zilizokomaa zisizo na magomvi. Nchi yetu tuipe nafasi yake iwe muhimu kwetu wote kulumbana tukizingatia amani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...