WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI

WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015

MAELEKEZO:
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa
masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa
tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa
na chuo husika na zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa

wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu

 ya kujiunga na Chuo. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na TAMISEMI:
 www.pmoralg.go.tz 
Muhimu:

1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III


2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani

la Tanzania Kidato cha NNE na SITA (CSEE na ACSEE) na vyeti vya kuhitimu
Elimu ya Sekondari na Mafunzo ya Ualimu.

3. Ada ya mafunzo Stashahada ya Juu ni 600,000/= kwa mwaka (Muhula wa

 kwanza 300,000/= na muhula wa pili 300,000/=)

4. Wanafunzi watakaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na

SIYO vinginevyo, waweza pata orodha hyo kwa kufungua kiunganishi kimoja
wapo hapo chini au kwa kutembelea mfumo wenye majina - bonyeza hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...