Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning Site kata ya Milimani
Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mh Aziz Abood akiwaongoza vijana wakati wa kula kiapo mara baada ya kumalizika kwa kambi ya umoja wa vijana CCM wilaya ya Morogoro mjini Akiwa sambamba na Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nyuma,Pamoja na Katibu wa UVCCM wilaya ya morogoro mjini Kulia.
Washiriki wa Kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Morogoro wakila Kiapo Mbele ya Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini
Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mh Aziz Abood akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kambi ya UVCCM Wilaya ya Morogoro Mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini Mh Aziz Abood akitangaza rasmi kumalizika kwa kambi hiyo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...