Mbunge
wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi
Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa
Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha Mapinduzi Kujitegemea
Kiuchumi.Mh Kalogeris Amekabidhi pikipiki hizo akiwa na Lengo Kila kata
Kuwa na Pikipiki MMoja uwe Mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata
Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris
amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa Pikipiki.Mh
Kalogeris amesisitiza Pikipiki hizo ni mali ya CCM Wilaya ya Morogoro
Vijijini na si mali ya watu binafsi.
Wanachama na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Morogoro vijijini waliojitokeza wakati wa Kupokea Msaada huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...