![]() |
Mhe. Balozi Marmo akikabidhi Hati za Utambulish |
Mhe. Balozi Marmo kabla ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2, 2014.
Mhe. Balozi Marmo baada ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2, 2014.
Mhe. Balozi Marmo baada ya kukabidhi Hati za Utambulish
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...