Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati (wapili kushoto) na Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kitengo cha mafuta cha Kurasini Oil Jet (KOJ), Capt. Mwingamno wakati Dk. Sri Mulyani Indrawati alipokitembelea kitengo hicho kilichopo ndani ya bandari ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Dk. Sri Mulyani Indrawati (katikati) na mwenyeji wake Waziri wa Uchukuzi, Mh. Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumzia jambo na Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Awadh Massawe wakati alipoitembelea bandari hiyo hivi karibuni.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nina chuki vibaya mno na formular ya ushuru.
    Ushuru wanaotutoza wanyonge kwa kuigiza vijigari vyetu ni wa kuua kabisa. Kwa kweli Nina chuki kuu sana na uwizi wao wa hela za wanyonge hapo bandarini kwa kupitia ushuru usioeleweka. Ila basi tu uwezo wa kuwalogo sina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...