Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent
Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa
Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach
jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa
wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa
udhamini wa HUAWEI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...