Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu,akifungua mafunzo ya Majaji na
Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kuhusiana na mkakati wa kupiga vita masuala ya Ugaidi uhalifu
wa Kimataifa ambayo yanahatarisha usalama wa wananchi wake pamoja na wageni,semina hiyo
inafanyika Lagema Nungwi.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mh. Omar Othman Makungu (katikati),akifuatana na Jaji Mkuu wa
Sudan ya Kusini Chaan Reec Madut (kushoto),mara baada ya kuyafungua mafunzo ya siku tano
juu ya mikakati ya kuupiga vita ugaidi na uhalifu wa Kimataifa kwa nchi za Afrika ya
Mashariki,mkutano huo unafanyika katika hoteli ya kitalii ya Lagema Nungwi,(Picha na Abdallah
Masangu).
jamani huyu muandishi yuko sahihi kweli? kusema mkitano wafunguliwa Kigali Rwanda wakati unafanyika Nungwi Zanzibar? HAPO LA GEMMA?
ReplyDelete