Uongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa na wa wilaya ya Namtumbo ukitoka nje ya
Ofisi ya Mkuu hiyo, baada ya kufanya mazungumzo ya kina ya mpango ya
kujenga nyumba za gharama nafuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu na ujumbe wake wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw. Abdulah
Lutavi akiwatembeza kwenye eneo lililotengwa na Wilaya hiyo kwa ajili
ya kujengewa nyumba na NHC. Shirika la Nyumba litajenga nyumba za
gharama nafuu katika halmashauri hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw. Nehemia
Mchechu, Mkuu wa Wilaya Natumbo, Bw. Abdulah Lutavi na ujumbe wao
wakijadiliana kwenye eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu na
Shirika la Nyumba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...