Sehemu ya mbele.
ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.
UKUBWA: Kila moja ina vyumba 3 vya kulala, jiko, siting room kubwa na daining ya kutosha.
UMEME: Kila moja inatumia Mita ya Luku kwa kujitegemea. pamoja na maji.

PAKING: Eneo kubwa kwa zaidi ya magari 5 kwa wakati mmoja.
BEI. Ni maelewano kuanzia miezi 6 au zaidi kutegemea hitaji la mteja.
BEI. Ni maelewano kuanzia miezi 6 au zaidi kutegemea hitaji la mteja.
kwa mawasiliano: 0686-569999
Wako katika makazi bora na ya kisasa.
Wako katika makazi bora na ya kisasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...