Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea makombe toka kwa Balozi wa Heshima wa Tanzania huko California Mhe Ahmed Issa kama pongezi kwa uongozi uliotukuka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka Watanzania kutoka Atlanta kama pongezi kwa uongozi uliotukuka Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Ukiangalia nchi nyingine ambazo viongozi wanalumbana nchi inaa thirika Tanzania tunapashwa kushukuru viongozi wetu kwa uongozi.
ReplyDeleteKwa kweli raisi wetu anastahili kutuswa ameweza kudumisha amani tuliyoridhi. Ni kiongozi mwenye busara na mpole nafuatolia sana hotuba zake hajawahi kuongea kwa jazba anaheshimu wale wanaomsikiliza hata kama ni walala hoi. Ni kiongozi mzuri ila watendaji tunapaswa tuwajibike zaidi na tuache tamaa na ubinafsi.
ReplyDelete