Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. URAIA wa TANZANI BARA ndio upi huo???

    ReplyDelete
  2. hehehe! Kwani kuna uraia wa Tanzania bata?

    ReplyDelete
  3. ubaguzi wa kijiographia na kirangi.

    ReplyDelete
  4. Wanamaanisha wanataka waombaji/vijana kutoka Tanzania bara

    ReplyDelete
  5. Anonymous hapo juu ulieandika "Wanamaanisha wanataka waombaji/vijana kutoka Tanzania bara"

    Kwani vijana toka Tanzania bara uraia wao ndio Utanzania bara au ni Watanzania wanaoishi tanzania bara? Kwa ufupi hakuna kitu kinachoitwa "Uraia wa Tanzania Bara"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...