Bw Edwin Rutageruka, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara ya Ndani, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), akikabidhi Kompyuta, Vifaa vya Ofisi na Samani kwa Bw.Raymond Mwanisawa, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushirikiano Mpakani (JBC) Tunduma ambaye pia ni Mkuu wa Kituo cha Tunduma cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Vifaa hivi ni kwa ajili ya kuimarisha ufanisi wa kupitisha mizigo na kupata taarifa za biashara Mipakani. Tukio hili lilifanyika tarehe 10 September 2014 katika Mpaka wa Tunduma Wilayani Momba Mkoani Mbeya. Wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi wa JBC Tunduma na TanTrade. Picha na TanTrade
Home
Unlabelled
tantrade yaipigia jeki JBC mpakani tunduma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...